![]() |
Mwonekano wa banda letu sabasaba |
![]() |
Baadhi ya washiriki kutoka NHBRA wakiwa tayari kutoa maelezo ya kina kuhusu teknolojia ya gharama nafuu |
![]() |
Mgeni aliyetutembelea akipata maelezo kuhusu teknolojia yetu mpya ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa kutumia ''waffles'' |
![]() |
Mgeni alietutembelea akiangalia kwa umakini teknolojia yetu mpya ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa kwa kutumia waffles |
![]() |
Wananchi wakipata maelezo juu ya utengenezaji wa tofali za kufungamana |
No comments:
Post a Comment