Friday 4 August 2017

Wanafunzi wa Veta Lindi wakipata maelezo ya ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu kutumia matofali ya kufungamana kutoka kwa mwakilishi waNHBRA kwenye maonesho ya Nanenane