Wednesday, 28 December 2016

MWONEKANO WA NYUMBA ZA MATOFALI YA KUFUNGAMANA KWENYE BAADHI YA MIKOA TANZANIA


NHBRA ilipata nafasi ya kuwatembelea mafundi waliopata elimu ya ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu kwenye baadhi ya mikoa Tanzania ili kuangalia kama wametimiza viwango vinavyotakiwa katika ujenzi huo.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za Nyumba hizo katika Mkoa wa Morogoro, Tanga na Pwani
Mwonekano wa mbele wa moja ya nyumba tulizotembelea Mkoani Morogoro Wilaya ya Turiani
Mwonekano kwa nyuma ya nyumba hiyo

Nyumba za kupanga zilizojengwa kwa kutumia matofali za kufungumana Wilayani Turiani

Mwonekano wa mbele ya nyumba Wilaya ya Turiani
Wafanyakazi wa NHBRA wakiangalia nyumba hiyo kama imejengwa kwa ustadi unaohitajika
Mwonekano wa nyumba ya kupanga iliyogawanywa katika sehemu mbili ambayo ina vyumba viwili vya kulala kila upande pamoja na sebule wilaya ya Turiani
Mwonekano wa mbele ya nyumba iliyojengwa kwa ustadi Wilaya ya Rufiji
Mwonekano wa nyuma ya nyumba hiyo
Baadhi wa wafanyakazi wa NHBRA, mafundi wa ujenzi pamoja na mmiliki wa nyumba hiyo wakifurahia jambo kwa pamoja
 


Mwonekano wa mbele ya nyumba iliyopo Mkoani Tanga
Mwonekano wa nyuma ya nyumba iliyopo Mkoani Tanga

 

Friday, 16 December 2016

Friday, 2 December 2016

BARAZA LA WAFANYAKAZI NHBRA

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi NHBRA wakiwa kwenye kikao cha kujadili mambo mbalimbali yahusuyo utendaji wenye tija na namna ya kuboresha utendaji huo. kikao hicho kimefanyika leo tarehe 2/12/2016.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi NHBRA wakijiandaa kuimba wimbo wa mshikakano pamoja na Mgeni Rasmi, Bw. Victor Kategere (Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu-Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi).
 
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Eng. Twwimanye John akiwakaribisha wajumbe waliohudhuria kikao hicho

Mwenyekiti wa Baraza (Mkurugenzi Mkuu- NHBRA) Dkt. Matiko S. Mturi akimkaribisha mgeni rasmi katika kikao hicho.
 
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Bw, Victor Kategere kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Mgeni Rasmi akihutubia Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la NHBRA
 
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi mapema leo tarehe 2/12/2016 NHBRA-Dar es Salaam