Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi NHBRA wakiwa kwenye kikao cha kujadili mambo mbalimbali yahusuyo utendaji wenye tija na namna ya kuboresha utendaji huo. kikao hicho kimefanyika leo tarehe 2/12/2016.
|
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi NHBRA wakijiandaa kuimba wimbo wa mshikakano pamoja na Mgeni Rasmi, Bw. Victor Kategere (Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu-Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi). |
|
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Eng. Twwimanye John akiwakaribisha wajumbe waliohudhuria kikao hicho |
|
Mwenyekiti wa Baraza (Mkurugenzi Mkuu- NHBRA) Dkt. Matiko S. Mturi akimkaribisha mgeni rasmi katika kikao hicho. |
|
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Bw, Victor Kategere kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. |
|
Mgeni Rasmi akihutubia Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la NHBRA |
|
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi mapema leo tarehe 2/12/2016 NHBRA-Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment