Thursday, 20 April 2017

MATOKEO YA SEMINA JUU YA UJENZI WA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Ujenzi wa kibanda cha mfano kwa kutumia matofali ya kufungamana ukifanywa na wanasemina waliopata mafunzo kutoka NHBRA huko Nzega Mkoani Tabora

Tuesday, 4 April 2017

MAELEKEZO YA KUFIKA KATIKA OFISI ZETU

Bado kuna maswali mengi ya namna ya kufika katika Ofisi zetu hapa Dar es Salaam. Angalia hii ramani kwa maelekezo zaidi