NHBRA ilipata nafasi ya kuwatembelea mafundi waliopata elimu ya ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu kwenye baadhi ya mikoa Tanzania ili kuangalia kama wametimiza viwango vinavyotakiwa katika ujenzi huo.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za Nyumba hizo katika Mkoa wa Morogoro, Tanga na Pwani
|
Mwonekano wa mbele wa moja ya nyumba tulizotembelea Mkoani Morogoro Wilaya ya Turiani |
|
Mwonekano kwa nyuma ya nyumba hiyo |
|
Nyumba za kupanga zilizojengwa kwa kutumia matofali za kufungumana Wilayani Turiani |
|
Mwonekano wa mbele ya nyumba Wilaya ya Turiani |
|
Wafanyakazi wa NHBRA wakiangalia nyumba hiyo kama imejengwa kwa ustadi unaohitajika |
|
Mwonekano wa nyumba ya kupanga iliyogawanywa katika sehemu mbili ambayo ina vyumba viwili vya kulala kila upande pamoja na sebule wilaya ya Turiani |
|
Mwonekano wa mbele ya nyumba iliyojengwa kwa ustadi Wilaya ya Rufiji |
|
Mwonekano wa nyuma ya nyumba hiyo |
|
Baadhi wa wafanyakazi wa NHBRA, mafundi wa ujenzi pamoja na mmiliki wa nyumba hiyo wakifurahia jambo kwa pamoja |
|
Mwonekano wa mbele ya nyumba iliyopo Mkoani Tanga |
|
Mwonekano wa nyuma ya nyumba iliyopo Mkoani Tanga |
hamasa imeanza kuingia na kutandawaa kwa wajenzi wa nyumba, na hasa wameonekana wakikimbilia kwenye kupunguzagharama za ujenzi. nhbra iimarishe tafiti Zaidi ili kimbilio hilo la wananchi liwe la uhakika na matarajio yao yatimie. WAMETHUBUTU, WAMEFANYA NA WAMEWEZA. hongereni wananchi kwa kuchagua kilichobora Zaidi kwa gharama nafuu.
ReplyDelete