Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi NHBRA wamekutana ili kujadili mambo mbalimbali yanayohusu utendaji wenye tija katika kuimarisha ukuaji wa Wakala pamoja na wafanyakazi wake.
|
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi NHBRA Mhandisi Twwimanye John akimkaribisha Mwenyekiti wa Baraza hilo Dkt. Matiko S. Mturi (wa kwanza kulia) ili amkaribishe mgeni rasmi. |
|
Mwenyekiti wa Baraza, Dkt Mturi (aliyesimama) akimkaribisha Mgeni Rasmi kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa kikao hicho |
|
Mgeni rasmi, Mhandisi Amani Msuya akihutubia wajumbe wa Baraza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho |
|
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi mapema leo tarehe 23/02/2017 NHBRA-Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment