Thursday, 14 September 2017

SHIWATA YANEEMEKA KUPITIA NHBRA

Nyumba za kuishi za wanachama wa Shirikisho la Wasanii Tanzania (SHIWATA) zilizoezekwa kwa kutumia vigae vya gharama nafuu kutoka NHBRANyumba zilizoezekwa kwa kutumia vigae mkonge

Nyumba hii imejengewa kwa matofali ya kufungamana na kuezekwa kwa kutumia vigae mkonge.

No comments:

Post a comment