Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa Vya Ujenzi Nhbra Tanzania, una Maabara ambayo inafanya majaribio mbalimbali ya upimaji ubora na uimara wa vifaaa vya ujenzi.
Kupata ufafanuzi zaidi juu ya vipimo mbalimbali vya vifaa vya ujenzi na bei zake fika Ofisini kwetu Mwenge, Dar es Salaam muda ni kunzia saa 0730-1530hrs Jumatatu - Ijumaa au tembelea tovuti yetu http://www.nhbra.go.tz/projects/22

![]() |
Fundi Sanifu akipima uwezo wa udongo kubeba mzigo "load carrying capacity" kwa kutumia mashine ya Direct Shear katika Maabara ya NHBRA |
No comments:
Post a Comment