| Wageni kutoka China wakiwa katika pichaya pamoja na menejimenti ya NHBRA na baadhi ya Wakurugenzi wa idara mbalimbali kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. |
| Wageni wakiangalia namna ya kutengeneza vigae vya mkonge vya kuezekea nyumba. |
| Fundi Sanifu Hussein Mataka akionesha tofali la kufungamana alilolifyatua wakati akionyesha namna ya kutengeneza matofali hayo kwa wageni hao. |
| Mgeni akichukua tofali hilo ili kuliangalia vizuri baada ya kufyatuliwa. |
Wageni wakiangalia tofali la kufungamana baada ya kufyatuliwa.
|
| Wageni wakilishangaa tofali la kufungamana lililofyatuliwa kwa ajili yao huku wakishuhudiwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu (wa pili kushoto) na Mhandisi Mwandamizi, Amri Juma (wa kwanza kushoto). |
No comments:
Post a Comment