WAKALA WA TAIFA WA UTAFITI WA NYUMBA BORA NA VIFAA VYA UJENZI
Wednesday, 1 August 2018
TEKNOLOJIA YA NHBRA YAZIDI KUJULIKANA
Washiriki wa semina ya ''Adequate Housing'' kutoka Uganda, Kenya, Mozambique, Zambia na wenyeji wao Tanzania walipata nafasi ya kutembelea Wakala wa Taifa wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi ili kuweza kujionea shughuli mbalimbali za Wakala.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment