Mhandisi Twwimanye John kutoka NHBRA akiwasilisha mada ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kwa Maafisa Magereza |
Afisa wa Magereza akiuliza swali kwa Mhandisi ili kupata ufafanuzi zaidi |
Fundi Sanifu Mwandamizi Sylvester Shumbusho akitoa elimu kwa vitendo ya namna ya kutengeneza kigae kwa kutumia mashine mtetemo |
Maafisa Magereza wakifanya jaribio la kutengeneza kigae mkonge |
Maafisa wa Magereza wakiwakilisha baadhi ya Wanawake katika Semina hiyo nao hawakua nyuma kufanya majaribio hayo ya utengenezaji wa kigae mkonge |
Maafisa Magereza wakifuatilia kwa umakini utengenezaji wa tofali la kufungamana kwa kutumia mashine iliyotafitiwa na NHBRA |
Kwa mawasiliano zaidi juu ya namna ya kupata mashine ya matofali ya kufungamana, kununua tofali, vigae mkonge na kupata mafunzo usisite kututafuta kwa namba ifuatayo;
+255 679 972 715
au
Barua pepe: dawatilamsaada@nhbra.go.tz
au
Fika ofisini kwetu Mwenge tunapakana na kituo cha mafuta cha Oilcom.
Karibuni sana