Monday 20 March 2017

NYUMBA ILIYOJENGWA KWA KUTUMIA TECHNOLOJIA YA NHBRA

Nyumba ya Mwananchi aliyoijenga kwa kutumia matofali ya kufungamana huko Kibaha Mkoani Pwani baada ya kupata ushauri kutoka NHBRA


Tuesday 7 March 2017

TAFITI ZA NHBRA NA SHUHUDA ZA WATEJA WALIONUFAIKA

Nhbra Tanzania bado inaendelea kufanya tafiti za vifaa bora vya ujenzi ili kuweza kuboresha hali ya makazi nchini.
bonyeza link hii ili uweze kujionea baadhi ya shughuli za NHBRA na wateja walionufaika na tafiti za Wakala
http://www.nhbra.go.tz/videos