Ili kujua kiasi cha mfinyanzi kilichopo katika udongo ili kujua kiasi cha saruji kinachohitajika katika kuchanganya na udongo wakati wa kutengeneza matofali yanayofungamana kuna majaribio yanayofanyika ili kuweza kujua hayo yote. majaribio hayo ni:
- jaribio la chupa (bottle test)
- jaribio la kasha (shrinkage box test)
Jaribio hili hutumika kupima kiasi cha mfinyanzi kilichopo katika udongo unaotaka kuutumia,Udongo unaotumika ni udongo wa chini udongo wa juu ni lazima uondolewe kwani ni udongo wenye mbolea na mizizi haufai kwa shughuli za ujenzi, udongo unaofaa ni ule wa chini hivyo ni lazima kuhakikisha kuwa udongo wote wenye mizizi na mbolea uneondolewa.
Picha za jaribio la chupa katika kutambua kiasi cha mfinyanzi katika udongo
JARIBIO LA KASHA Jaribio hili hufanyika ili kujua uwiano wa kuchanganya udongo na saruji ili kuweza kutengeneza matofali yenye ubora unaotakiwa. Kasha linalotumika katika jaribio hili ni kam linavyoonekana katika picha hapo chini.
Jaribio likiwa limekamilika, matokeo yanapimwa
- Baaada ya kupata majibu katika majaribio na kupata uwiano wa kuchanganya saruji na udongo hatua za upimaji na uchanganyaji huanza.
- Udongo uwe mkavu kabisa na kama una chembechembe kubwa udongo unaotumika lazima uchekechwe.
- Tumia ndoo au karai kupima udongo.
- Changanya udongo na saruji hadi vichanganyike vizuri
- Nyunyizia maji hadi udongo uwe na uwezo wa kushikamana lakini usilowe hadi kutengeneza tope.
Udongo ukichanganywa na saruji tayari kwa kufyatua matofali.
Mashine ya kutengenezea matofali ni lazima ifungwe kwenye kitako cha mbao kwa kutumia bolt na
nut ili ikae itulie isisumbue wakati wa kufanya kazi ya ufyatuaji matofali pia ni lazima kuiwekea
vilainishi ili kupunguza msuguano wa vyuma wakati wa kufyatua matofali.
Hatua za ufyatuaji matofali
- Funua mfuniko wa mashine
- Jaza udongo kwenye kasha la mashine
- Funika mfuniko
- Shindilia
- Funuo mfuniko
- Kandamiza ili kutoa tofali kwenye mashine
- Tofali hubebwa na mtu mmoja kwa mikono miwili na kulipeleka kuweka sehemu iliyoandaliwa
Jiwezeshe tukuwezeshe, kwa maelezo na huduma wasiliana nasi kwa simu namba +255 22 2771971 au info@nhbra.go.tz
je,mashine hizi zinauzwa bei gani?
ReplyDeletena naweza kuzipataje kwa mkaazi wa tanga kama mimi?
Habari za kazi. Nimekuwa nikiwafuatilia makala zenu na kuuliza maswali mbalimbali lakini hamjibu. Hii haileti picha nzuri kwa wateja.
ReplyDeleteMfuko mmoja wa saruji ni ndoo ngapi za udongo
ReplyDeleteNahitaji mashine yakufyatua matofari
ReplyDeleteninaomba kupata bei ya hiyo machine
ReplyDeleteemail yangu n; Will250son@gmail.com
Wilson
Nilikua Nina shida na mashine zenu, za matofali haya, niojua nataka kujia gharama ya mashine inayo fyatua tofali moja moja
ReplyDelete+255718466609 namba zangu za ofisi za Whatup jilkua Naomba ishirikiano kujua bei
ReplyDeleteNimefurahishwa sana na maelezo, ningependa kusoma na kuelewa zaidi namna ya uchanganyaji wa saruji na udongo, ila picha haionekani vema.
ReplyDeleteNaomba pia kufahamu upatikanaji pamoja na bei ya mashine hiyo.
ReplyDeleteMajibu yapitie barua pepe yanguamabyo ni:- wilsonephat@gmail.com
ReplyDeleteNingependa na mm kujua bei ya mashine nahitaji moja
DeleteOk
ReplyDeleteNahitaji machine mnauza kwa sh. Ngapi
ReplyDeleteNami pia nipo interested na kujua bei ya mashine kwa tofali mojamina pia jinsi ya kuchanganya kupata matokeo mazuriasante.
ReplyDeleteHello, professional manufacturer of brick making machine from China,
ReplyDeletehave specialized in brick making machine for 20 Years.
Two Kinds Brick Machine : Concrete And Clay.
Characteristic: Super Quality And Competitive Price.
Visit and subscribe its Youtube channel to get everything you want,
https://www.youtube.com/channel/UCT3OEig0wTHSTGOG_vIg_FA
Halo, mtengenezaji mtaalamu wa mashine ya kutengeneza matofali kutoka China,
ReplyDeletekuwa na utaalam katika mashine ya kutengeneza matofali kwa miaka 20.
Aina mbili za Mashine ya Matofali: Zege Na Udongo.
Tabia: Ubora wa hali ya juu na Bei ya Ushindani.
Tembelea na ujiandikishe kituo chake cha Youtube kupata kila kitu unachotaka,
https://www.youtube.com/channel/UCT3OEig0wTHSTGOG_vIg_FA