| Mh. Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Angeline Mabula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala Dkt. Matiko Mturi mara baada ya kuwasili Ofisini za NHBRA. |
| Mh. Naibu Waziri Bi. Angeline Mabula akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili NHBRA |
| Mkurugenzi Mkuu wa Wakala akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi |
| Naibu Waziri pamoja na Meneja wa Biashara na Utawala, Bi. Hadija Maloya (wakwanza kulia) wakiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii. |
| Kamati ya Bunge wakikaribishwa na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara na Wakala |
| Mkurugenzi Mkuu wa Wakala akitoa maelezo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge |
| Afisa Biashara, Bi. Zubeda Salum akitoa maelezo kuhusu Wakala kwa Kamati ya Bunge pamoja na wawakilishi wa Wizara |
| Mkurugenzi Mkuu akielezea kuhusu moja ya chapisho za tafiti zilizofanywa na Wakala |
| Fundi Sanifu, Bw. Hussein Mataka akitoa ufafanuzi juu ya uezekeaji wa nyumba kwa kutumia vigae vinavyotengenezwa na Wakala |
| Fundi Sanifu Bw. Sylvester Shumbusho akielezea namna ya kutengeneza kigae cha kuchoma kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge |
| Naibu Waziri akifuatilia maelezo ya namna ya kutengeneza vigae vya kuchoma |
| Mhandisi Amri Juma akitoa maelekezo ya ujenzi wa matofali ya kufungamana yanayotengenezwa kwa udongo tu bila saruji |
| Mkurugenzi Mkuu akitoa maelezo juu ya vigae vinavyotengenezwa na Wakala |
| Kamati ya Kudumu ya Bunge ikiangalia vigae hivyo vilivyokuwa tayari kwa kuezekewa |
| Mkurugenzi Mkuu akielezea kuhusu uchanaganyaji wa nyuzi za katani katika utengenezaji wa vigae vya kuezekea nyumba |
| Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge pamoja na wafanyakazi wa Wakala wakifurahia jambo kwa pamoja |
| Naibu Waziri akielezea jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge |
| Mkurugenzi Mkuu akiagana na Mwenyekiti wa Kamati hiyo mara baada ya kumaliza ziara yao |